KISWHAILI LUGHA GRADE LA 7.
| Institution | JUNIOR SECONDARY SCHOOL |
| Course | KISWHAILI LUGHA GRAD... |
| Year | 1st Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | stephen oyake rabilo |
| File Type | |
| Pages | 4 Pages |
| File Size | 373.39 KB |
| Views | 3165 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Description
1. Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali.
Fisi, sungura na ndozu walikuwa marafiki wa kuzikana. Kutokana na uwezo wao, kimapato, watoto wao
walisomea katika shule ya mabweni ya mtepetevu. Wanafunzi wa shule hiyo walitembelewa na wazazi wao.
Takribani kila mzazi alimbebea mwanawe chakula isipokuwa sungura. Walifanya hivyo licha ya kuwa watoto
walirudi shuleni siku chache zilizopita.
Mkutanoni wazazi walizozana kuhusu maankuli shuleni siku, mavazi na hata mitindo ya nywele ya
wanawao. Fisi na ndovu walikua mstari wa mbele kutaka wana wao wapewe mapocho pocho. Wanyama wengi
walikua na wanao shule hiyo hawakuzingatia sana juhudi za wanao masomoni, kinyume na kawaida yao. Hata
hivyo wengine waliona mbele wakapinga, udekezaji huo.
Mazozano ulipokuwa ukipamba moto, mwanawe Sungura aliyekuwa akivaa kilalahoi aliingia mkutanoni.
Baadhi ya wanyama walipomwano walishindwa kwani mkutano ulikuwa ni wa wazazi. Kijana aliketi na
kuwasikiliza. Fisi alisimama na kusema. “Hatuelewi ni kwa nini watoto wetu hawali nyamachoma, kima kwa
hapati. Tunalipa! Kwa nini wale bure na ugali tu?”
Kijana wa sungura alisimama na kusema, “Hoja mnazotoa si…….” Baadhi ya wazazi wanakadakia na kusema. “We nyamaza u motto kazi ni kunyamaza na kuwapasa ujumbe wazazi wako baadaye.” Alipoulizwa
Below is the document preview.
MBINU ZA UANDISHI KATIKA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI
Trending!
Mwandishi ametumia methali katika sehemu mbalimbali katika tamthlia. Anwani ya
tamthlia Wema hauozi ni methali yenye maana kwamba upo wakati ambao wema
hushinda uovu na kung’aa.
5 Pages
2489 Views
0 Downloads
226.8 KB
WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI
Trending!
Wahusika Wakuu - hawa ni wahusika ambao wanahusishwa na takribani visa vyote katika riwaya/tamthilia. Wahusika huhusishwa kutoka mwanzo hadi mwisho.
5 Pages
2324 Views
0 Downloads
237.24 KB
Wema Hauozi Uchambuzi Wa Jalada
Trending!
Jalada ni sehemu iliyoko juu ya kitabu Huwa ni mambo yaliyo muhtasari wa kile msomaji anataraji ndani. Jalada huwa kuwili yaani, jalada la mbele na la nyuma. Kunavyo vipengele muhimu hasa rangi za michoro na maandishi.
4 Pages
2714 Views
1 Downloads
146.72 KB
Mshale Wa Matumaini Setbook PDF
Trending!
Get the pdf or softcopy version of the JSS setbook Novel MSHALE WA MATUMAINI.
72 Pages
2491 Views
5 Downloads
1.42 MB
TERM 3 GRADE 7 RATIONALIZED CRE SCHEME OF WORK 2025
Trending!
TERM 3 GRADE 7 RATIONALIZED CRE SCHEME OF WORK 2025
2674 Views
1 Downloads
28.23 KB
TERM 3 GRADE 7 RATIONALIZED MATHEMATICS SCHEME OF WORK 2025
Trending!
TERM 3 GRADE 7 RATIONALIZED MATHEMATICS SCHEME OF WORK 2025
2534 Views
0 Downloads
44.77 KB
TARGETER WINGS 007 GRADE 8 COMBINED EXAMS WITH MARKING SCHEME
Trending!
Download a copy the exclusive TARGETER WINGS 007 GRADE 8 COMBINED EXAMS WITH MARKING SCHEME attached, it contains all the subject areas taught in grade 8. This is a great assessment tool for your learners and even for their revision purposes. Get a copy today!
79 Pages
3866 Views
7 Downloads
33.38 MB
GRADE 9 RATIONALIZED KISWAHILI SCHEMES OF WORK TERM 3
Trending!
Download a copy of the JSS GRADE GRADE 9 RATIONALIZED KISWAHILI SCHEMES OF WORK TERM 3 for effective teaching preparation. Perfect resource for term planning and curriculum delivery. Ideal for educators and teachers.
14 Pages
2770 Views
0 Downloads
372.13 KB
TARGETER WINGS 007 GRADE 7 2025 EXAM PAPERS WITH MARKING SCHEMES
Targeter wings Grade 7 007 2025 Junior secondary school assessment questions with answers complete set. Learning areas included: mathematics, social studies, intergrated science, agriculture and nutrition, physical education, pre-technical studies, religious education, creative arts and sports, Kiswahili PP1,PP2 and English PP1, PPP2
76 Pages
1340 Views
8 Downloads
40.96 MB
TARGETER WINGS 007 GRADE 7 2025 EXAM PAPERS WITH MARKING SCHEMES
Targeter wings Grade 7 007 2025 Junior secondary school assessment questions with answers complete set. Learning areas included: mathematics, social studies, intergrated science, agriculture and nutrition, physical education, pre-technical studies, religious education, creative arts and sports, Kiswahili PP1,PP2 and English PP1, PPP2
76 Pages
1642 Views
15 Downloads
40.96 MB