KISWHAILI LUGHA GRADE LA 7.

Institution JUNIOR SECONDARY SCHOOL
Course KISWHAILI LUGHA GRAD...
Year 1st Year
Semester Unknown
Posted By stephen oyake rabilo
File Type pdf
Pages 4 Pages
File Size 373.39 KB
Views 3162
Downloads 0
Price: Buy Now whatsapp Buy via whatsapp
  • whatsapp
  • facebook
  • twitter

Description

1. Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali. Fisi, sungura na ndozu walikuwa marafiki wa kuzikana. Kutokana na uwezo wao, kimapato, watoto wao walisomea katika shule ya mabweni ya mtepetevu. Wanafunzi wa shule hiyo walitembelewa na wazazi wao. Takribani kila mzazi alimbebea mwanawe chakula isipokuwa sungura. Walifanya hivyo licha ya kuwa watoto walirudi shuleni siku chache zilizopita. Mkutanoni wazazi walizozana kuhusu maankuli shuleni siku, mavazi na hata mitindo ya nywele ya wanawao. Fisi na ndovu walikua mstari wa mbele kutaka wana wao wapewe mapocho pocho. Wanyama wengi walikua na wanao shule hiyo hawakuzingatia sana juhudi za wanao masomoni, kinyume na kawaida yao. Hata hivyo wengine waliona mbele wakapinga, udekezaji huo. Mazozano ulipokuwa ukipamba moto, mwanawe Sungura aliyekuwa akivaa kilalahoi aliingia mkutanoni. Baadhi ya wanyama walipomwano walishindwa kwani mkutano ulikuwa ni wa wazazi. Kijana aliketi na kuwasikiliza. Fisi alisimama na kusema. “Hatuelewi ni kwa nini watoto wetu hawali nyamachoma, kima kwa hapati. Tunalipa! Kwa nini wale bure na ugali tu?” Kijana wa sungura alisimama na kusema, “Hoja mnazotoa si…….” Baadhi ya wazazi wanakadakia na kusema. “We nyamaza u motto kazi ni kunyamaza na kuwapasa ujumbe wazazi wako baadaye.” Alipoulizwa
Below is the document preview.

No preview available
2025 GRADE 9 KISWAHILI SCHEME OF WORK TERM 3 Trending!
2025 GRADE 9 KISWAHILI SCHEME OF WORK TERM 3
2831 Views 0 Downloads 89.63 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED CRE SCHEME OF WORK 2025 Trending!
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED CRE SCHEME OF WORK 2025
2879 Views 1 Downloads 92.96 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED PRETECHNICAL STUDIES SCHEME OF WORK 2025 Trending!
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED PRETECHNICAL STUDIES SCHEME OF WORK 2025
2684 Views 0 Downloads 104.5 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED SOCIAL STUDIES SCHEME OF WORK 2025 Trending!
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED SOCIAL STUDIES SCHEME OF WORK 2025
2722 Views 0 Downloads 85.62 KB
2025 GRADE 9 RATIONALIZED INTEGRATED SCIENCE SCHEME OF WORK TERM 3 Trending!
2025 GRADE 9 RATIONALIZED INTEGRATED SCIENCE SCHEME OF WORK TERM 3
2822 Views 1 Downloads 120.85 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED ENGLISH SCHEME OF WORK 2025 Trending!
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED ENGLISH SCHEME OF WORK 2025
3203 Views 1 Downloads 159.79 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED AGRICULTURE AND NUTRITION SCHEME OF WORK 2025
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED AGRICULTURE AND NUTRITION SCHEME OF WORK 2025
303 Views 0 Downloads 74.32 KB
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED AGRICULTURE AND NUTRITION SCHEME OF WORK 2025
TERM 3 GRADE 9 RATIONALIZED AGRICULTURE AND NUTRITION SCHEME OF WORK 2025
331 Views 0 Downloads 74.32 KB
MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI Trending!
Maudhui ni mawazo makuu katika uandishi wa fasihi. Mwandishi huwasilisha mawazo haya ambayo husawiri maisha halisi ya binadamu kupitia kazi yake. Katika tamthilia ya Wema Hauozi kuna baadhi ya maudui ambayo yanajitokeza. Maudhui haya ni pamoja na...
6 Pages 2852 Views 2 Downloads 253.26 KB
JSS MWONGOZO WA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI YA TIMOTHY AREGE Trending!
Jinyakulie nakala yako ya JSS MWONGOZO WA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI YA TIMOTHY AREGE kwa uchambuzi mwafaka wa kitabu hiki. Maelezo ni ya kina na upana wa kurahisisha marudio yako mwafaka.
19 Pages 2533 Views 1 Downloads 1017.43 KB