SARUFI ZA KISWAHILI NOTES
| Institution | University |
| Course | KISWAHILI |
| Year | 1st Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | Mwalimu Evans Okoyo. |
| File Type | |
| Pages | 19 Pages |
| File Size | 220.59 KB |
| Views | 3225 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Description
Sarufi nimfumo na kanuni za lugha zinazomwezesha mtumiaji wa lugha
kuitumia lugha husika kwa usahihi. Mfumo huo humwezesha mzungumzaji
kutunga sentensi zisizo na kikomo ambazo hukubalika na wazawa wa lugha
wanaoifahamu lugha hiyo barabara. Hivyo ni dhahiri kwamba kila lugha ya
mwanadamu huwa na mpangilio na sheria zinazoilinda ili kuifanya kuwa
toshelevu na sanifu, na uzingatiwaji wa kanuni na taratibu hizo kwa mtumiaji
humfanya na kumtambulisha kama mmilisi wa lugha hiyo.
Below is the document preview.
Anatomy of head and neck
The head is the globular cranial end of the body, which contains brain and special sense organs, viz. eyes for vision, ears for hearing and equilibrium, nose for smell, and tongue for taste. It also provides openings for the respiratory and digestive systems. Structurally and developmentally, the head is divided into two parts: cranium and face.
457 Pages
1105 Views
0 Downloads
36.85 MB