Mwongozo wa Riwaya Kidagaa Kimemwozea
| Institution | Secondary |
| Course | Fasihi |
| Year | 4th Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | Mwalimu Evans Okoyo. |
| File Type | |
| Pages | 38 Pages |
| File Size | 402 KB |
| Views | 4690 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Description
Kidagaa Kimemwozea ni msemo unaomaanisha kuwa mambo yamemharibikia
mhusika fulani. Msemo huu unaangazia hali ya mambo kumwendea kinyume na
kumharibikia mhusika katika maisha, na shughuli zake za kawaida kukumbwa na
masaibu. Kupitia kwa wahusika mbalimbali mwandishi ameonyesha jinsi ambavyo
kidagaa kinavyoweza kumwozea mtu
Below is the document preview.