KISWHAILI LUGHA GRADE LA 7.
| Institution | JUNIOR SECONDARY SCHOOL |
| Course | KISWHAILI LUGHA GRAD... |
| Year | 1st Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | stephen oyake rabilo |
| File Type | |
| Pages | 4 Pages |
| File Size | 373.39 KB |
| Views | 3064 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Description
1. Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali.
Fisi, sungura na ndozu walikuwa marafiki wa kuzikana. Kutokana na uwezo wao, kimapato, watoto wao
walisomea katika shule ya mabweni ya mtepetevu. Wanafunzi wa shule hiyo walitembelewa na wazazi wao.
Takribani kila mzazi alimbebea mwanawe chakula isipokuwa sungura. Walifanya hivyo licha ya kuwa watoto
walirudi shuleni siku chache zilizopita.
Mkutanoni wazazi walizozana kuhusu maankuli shuleni siku, mavazi na hata mitindo ya nywele ya
wanawao. Fisi na ndovu walikua mstari wa mbele kutaka wana wao wapewe mapocho pocho. Wanyama wengi
walikua na wanao shule hiyo hawakuzingatia sana juhudi za wanao masomoni, kinyume na kawaida yao. Hata
hivyo wengine waliona mbele wakapinga, udekezaji huo.
Mazozano ulipokuwa ukipamba moto, mwanawe Sungura aliyekuwa akivaa kilalahoi aliingia mkutanoni.
Baadhi ya wanyama walipomwano walishindwa kwani mkutano ulikuwa ni wa wazazi. Kijana aliketi na
kuwasikiliza. Fisi alisimama na kusema. “Hatuelewi ni kwa nini watoto wetu hawali nyamachoma, kima kwa
hapati. Tunalipa! Kwa nini wale bure na ugali tu?”
Kijana wa sungura alisimama na kusema, “Hoja mnazotoa si…….” Baadhi ya wazazi wanakadakia na kusema. “We nyamaza u motto kazi ni kunyamaza na kuwapasa ujumbe wazazi wako baadaye.” Alipoulizwa
Below is the document preview.
GRADE 10 POWER MECHANICS NOTES
Trending!
GRADE 10 CBC COMPREHENSIVE NOTES ADHERING TO THE CURRICULUM DESIGN
65 Pages
2741 Views
1 Downloads
2.06 MB
JUNIOR SCHOOL JSS G7-G9 ALL MERGED TERM 2 EXAM 1
Trending!
ALL EXAMS FROM GRADE 7 TO GRADE 9
No pages found
2195 Views
0 Downloads
5.29 MB
GRADE 9 TERM 2 MERGED CAT
Trending!
MERGED COMPLETE PAPERS EXAM FOR GRADE 9 WITH ANSWERS
No pages found
2148 Views
0 Downloads
5.91 MB
PLAYGROUP REVISION BOOK
Trending!
CONTAINS REVISION QUESTIONS AND MARKING SCHEME
37 Pages
2728 Views
0 Downloads
2.79 MB
GRADE 1 REVISION BOOK WITH ANSWERS
Trending!
good CBC material for learners
No pages found
2753 Views
0 Downloads
2.26 MB