LATEST CHOZI LA HERI GUIDE
| Institution | Secondary |
| Course | K.C.S.E |
| Year | 4th Year |
| Semester | Unknown |
| Posted By | Codred Agencies |
| File Type | |
| Pages | 56 Pages |
| File Size | 1.26 MB |
| Views | 865 |
| Downloads | 0 |
| Price: |
Buy Now
|
Description
Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake , Robert Kambo. Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea. Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo maeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi. Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwa miongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa la Kalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hiki kimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaa rangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi, mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengine yaliyokuwa na rutuba ni kama Msitu wa Mamba. Watu waliogura makwao walipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakula kama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.
Below is the document preview.
LATEST CHOZI LA HERI GUIDE
Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake , Robert Kambo. Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea. Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo maeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi. Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwa miongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa la Kalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hiki kimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaa rangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi, mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengine yaliyokuwa
na rutuba ni kama Msitu wa Mamba. Watu waliogura makwao walipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakula kama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.
749 Views
0 Downloads
525.71 KB