UKOMBOZI WA FIKRA
By
Denis Mpagaze
Book Summary:
mara baada ya kupata uhuru wa bendera, mwl. julius nyerere alielekeza nguvu katika uhuru wa fikra maana aliamini bila ukombozi wa fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. kwahiyo akapeleka vijana wengi karibu kila kona ya dunia kuutafuta ukombozi wa fikra kupitia elimu. lakini kwa bahati mbaya wengi wakaenda kupambana na. Ukombozi wa fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. kwahiyo akapeleka vijana wengi karibu kila kona ya dunia. kuutafuta ukombozi wa fikra kupitia elimu. lakini kwa bahati. mbaya wengi wakaenda kupambana na mitihani badala ya ujinga. wakarudi na fikra hatarishi kwa rasilimali za nchi. mpaka. mwalimu anaondoka duniani watanzania bado.